Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JKT Queens yatangulia Fainali CECAFA

JKT Queeens Kikosi cha JKT Queens

Sun, 27 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ndoto za JKT Queens kuwa timu ya pili ya Tanzania kushiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kwa wanawake zimeshikiliwa na mchezo wa fainali baada ya kuichapa Buja Queens, mabao 3-1 Uwanja wa Njeru, Uganda.

Mabao yamefungwa na Donisia Minja . Stumai Abdallah na Winfrida Gerald

JKT Queens inasubiri mchezo kati ya CBE dhidi ya Vihiga Queens saa 9:00 Alasiri

Chanzo: www.tanzaniaweb.live