Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JB: Sijui kama kuna mechi ya Simba na Yanga

JbFacebook Msanii JB

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muongozaji wa filamu na muigizaji Jacob Stephene (JB) anasema hajui kama kuna Kariakoo Derby Simba VS Yanga weekend hii ya Novemba 5, 2023 uwanja wa Mkapa.

JB anasema anachojua yeye ni kuhusu tuzo za bodi ya filamu Tanzania ambazo zinaenda kufanya kwa mara ya 3 mfululizo baada ya kutangazwa rasmi siku Oktoba 31. 

"Sijui hata kama kuna mechi, ninajua kama kuna tuzo kuhusu mechi sifahamu. Nipo Jerusalem Films kazi yangu ni sinema" amesema JB.  

Chanzo: www.tanzaniaweb.live