Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ivory Coast yaifurusha Senegal AFCON

Ivory Coast Yaifurusha Senegal AFCON Ivory Coast yaifurusha Senegal AFCON

Tue, 30 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ivory Coast wamefanikiwa kufuzu kwenda hatua ya Robo Fainali baada ya kuifurusha Senegal kwa mikwaju 5-4 hiyo ni baada ya kumalizika kwa sare ya 1-1.

Mashabiki wa Ivory Coast walikuwa na furaha baada ya mikwaju ya penati kupigwa ambapo iliwapelekea Ivory Coast kushinda.

Mataifa hasimu haya kisoka yalishuka dimbani katika uwanja wa Charles Konan Banny katika mji wa Yamoussoukro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live