Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ivory Coast, Mali wapigwa faini

Ivory Coast, Mali Wapigwa Faini Ivory Coast, Mali wapigwa faini

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira Afrika (CAF) imewapiga faini ‘timu’ ya Taifa ya Mali dola 10,000 na ‘timu’ ya Taifa Ivory Coast dola 5000 kwa kosa la utovu wa nidhamu katika mchezo wa mashindano ya AFCON 2023.

Pia mchezaji wa ‘timu’ ya Mali Hamari Traoré amefungiwa kutocheza mechi nne 4 kwa kosa la utovu wa nidhamu dhidi ya muamuzi aliyechezesha ‘mechi’ kati ya ‘timu’ ya Ivory Coast na ‘timu’ ya Mali katika mashindano hayo.

Ivory Coast ndiyo waliotwaa Kombe la Afrika baada ya kuwafunga Nigeria bao 1-2 kwenye fainali ya AFCON 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live