Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ishu ya Skudu na Yanga ipo hivi

Skudu Makudubela Mbinu Mpt Ishu ya Skudu na Yanga ipo hivi

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Yanga, Skudu Makudubela alisaini mkataba wa miaka miwili na Yanga huku akiahidiwa kupewa pesa ya usajili sign-on-fee ya $45,000 (Tsh 117,000,000) na wakati anasaini Yanga walimlipa $25,000 huku $20,000 iliyobaki akiahidiwa kupewa mwanzoni mwa msimu wa 2024/25.

Hivyo kama Yanga wanataka kuachana na mchezaji huyo kwenye dirisha hili la usajili wanatakiwa kuvunja mkataba wake kwa kumlipa $20,000, iliyobaki Na mshahara wa msimu mzima ambao angepokea 2024/25.

Ikumbukwe Skudu analipwa $6000 (Tsh 15,930,000) kila mwezi hivyo mshahara wake wa mwaka Mzima ni $72,000 (Tsh 191,160,000).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: