Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Isco atua Real Betis

Isco Alcaron Www Isco Alcaron

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Francisco Román Alarcón Suárez almaarufu ‘ISCO’ amejiunga na klabu ya Real Betis kwa uhamisho huru.

Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Francisco Román Alarcón Suárez almaarufu ‘ISCO’ amejiunga na klabu ya Real Betis kwa uhamisho huru. Isco (31) raia wa Uhispania ambaye amekuwa mchezaji huru tangu alipositishiwa mkataba na Sevilla mnamo Disemba amesaini mkataba wa mwaka mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live