Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ipswich Town yarejea EPL baada ya miaka 22

Ipswich Premier League 6542958 Ipswich Town.

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ipswich Town imerejea kwenye Ligi Kuu nchini England miaka 22 baada ya kushuka daraja. Ipswich Town inaungana na timu ya Leicester City ambayo imepanda Ligi Kuu.

Kieran McKenna anakuwa Meneja wa kwanza kuipandisha timu kutoka Ligi daraja la tatu hadi Ligi Kuu.

Timu ya Ipswich Town imefikisha alama 96 ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Leicester City yenye pointi 97.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live