Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inter wapiga bao kwa nyota wao

Mastaa Inter Milan Inter wapiga bao kwa nyota wao

Thu, 6 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Hakan Çalhanoglu (29) raia wa Uturuki amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka minne ya kuendelea kuitumikia Inter Milan mpaka Juni 2027.

Kiungo Hakan Çalhanoglu (29) raia wa Uturuki amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka minne ya kuendelea kuitumikia Inter Milan mpaka Juni 2027. Wakati huo huo Alessandro Bastoni (24) raia wa Italia amesaini mkataba wa kuitumikia Inter mpaka Juni 2028.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live