Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inter Milan yatwaa Supercoppa Italia

Inter Super Coppa Inter Milan yatwaa Supercoppa Italia

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inter Milan imetwaa kombe la ‘Supercoppa Italiana’ kwa mara ya tatu mfululizo ikiwa ni mara ya 8 kihistoria kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Napoli kwenye fainali.

Inter Milan imetwaa kombe la ‘Supercoppa Italiana’ kwa mara ya tatu mfululizo ikiwa ni mara ya 8 kihistoria kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Napoli kwenye fainali. Bao pekee la ushindi la Milan katika mchezo huo limefungwa na Lautaro Martinez 90+1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live