Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inter Milan watwaa Ubingwa Ligi ya Italia

Inter Milan Are Crowned 2023 24 Serie A Champions  Besoccer.png Inter Milan watwaa Ubingwa Ligi ya Italia

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini Italia 'Serie A' baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya mahasimu wao kutoka jiji la Milan AC Milan.

Inter imefikisha alama 86 ikiwa ni tofauti ya alama 17 dhidi ya AC Milan wanaoshika nafasi ya pili na imesalia michezo 5 kabla msimu kumalizika.

Ni kwa mara ya kwanza kwenye History ya 'Serie A' Bingwa wa ligi hiyo amepatikana baada ya kushinda mchezo wa dabi ya jiji la Milan inayofahamika kam 'Dabi Della Madonnina'.

Huu unakua ubingwa wa 20 wa 'Serie A' kwa klabu hiyo ya Inter Milan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live