Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inter Miami wafunga msimu kwa kichapo

Charlotte Vs Miami Inter Miami wafunga msimu kwa kichapo

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inter Miami imecheza mechi yake ya mwisho ya msimu kwenye Major League Soccer [MLS] na kukutana na kichapo cha bao moja (1-0) kutoka kwa Charlotte.

Messi amemaliza msimu akiwa na

Magoli 11

Assist 5

Mechi 14

Chanzo: www.tanzaniaweb.live