Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga muda mwingi anatumia kupambania hali yake

Inonga Nje Wiki 2 Inonga muda mwingi anatumia kupambania hali yake

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba, Henock Inonga anatajwa kuwa ataondoka mwisho wa msimu wa 2023/24.

Hata hivyo Inonga ndani ya Ligi Kuu Bara amekuwa akitumia muda mwingi kupambania hali yake kutokana na kutokuwa fiti muda mrefu.

Mchezo wake wa kwanza kupata maumivu ilikuwa dhidi ya Coastal Union aliumia mguu dakika ya 19 na alipata maumivu pia Aprili 20 2024, Yanga 2-1 Simba dakika ya 14.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live