Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga, mchezaji pekee Bongo aliyeitwa Timu ya Taifa Congo

Inonga.png Inonga, mchezaji pekee Bongo aliyeitwa Timu ya Taifa Congo

Thu, 15 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kati wa klabu ya @simbasctanzania na raia wa DR Congo @inonga_baka_varane ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Inonga amekuwa mchezaji pekee kutoka ligi kuu ya Tanzania bara NBC kuitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa.

Ikumbukwe kuwa ligi kuu ya Tanzania bara ina wachezaji wengi sana kutoka nchini Congo wakiwemo wachezaji kadhaa wa Yanga kama Mayele, Bangala, Djuma Shabani na wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live