Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga mali ya FAR Rabat

Inonga Ms43772 Henock Inonga.

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi: Beki wa kati wa Klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Congo DR, Henock Inonga Baka (30) ni mchezaji mpya wa AS FAR Rabat ya nchini Morocco.

Tetesi: Beki wa kati wa Klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Congo DR, Henock Inonga Baka (30) ni mchezaji mpya wa AS FAR Rabat ya nchini Morocco. Inaelezwa kuwa, Inonga alitia saini mkataba wa miaka miwili wakati DR Congo ilipokuwa Rabat kwa kambi yao fupi ya mazoezi kabla ya mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live