Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga hauzwi, epukeni matapeli - Ahmed Ally

Inonga Hauzwi, Epukeni Matapeli   Ahmed Ally.jpeg Inonga hauzwi, epukeni matapeli - Ahmed Ally

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa Klabu yao haitamuuza beki wao kisiki, Henock Inonga.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa Klabu yao haitamuuza beki wao kisiki, Henock Inonga. Inonga aliyeg'ara na timu yake ya Taifa ya Kongo ambayo imefuzu Robo Fainali AFCON, anadaiwa kunyemelewa na Vilabu vya Al Ahly na RS Berkane ya Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live