Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga aonekana Kambini

Inonga Ms43772 Henock Inonga

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hennock Inonga ameonekana kwenye mazoezi ya Timu ya Taifa ya Dr Congo licha ya kutocheza kwa mwezi 1 katika klabu ya Simba awali ikidaiwa ana majeraha.

Hennock Inonga ameonekana kwenye mazoezi ya Timu ya Taifa ya Dr Congo licha ya kutocheza kwa mwezi 1 katika klabu ya Simba awali ikidaiwa ana majeraha. Inonga aliondoka Simba SC wiki kadhaa zilizopita na kutimkia Nchini France kula bata na familia yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live