Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga amepandisha mzuka kuelekea mchezo dhidi ya ASEC - Matola

Matola Kusoma Inonga amepandisha mzuka kuelekea mchezo dhidi ya ASEC - Matola

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha msaidizi wa kikosi cha Simba Suleman Matola ameoneshwa kufurahishwa na kurejea kwa mlinzi wa kati wa kikosi hicho Henock Inonga ambaye alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa lake Congo kwenye mashindano ya Afcon ambayo yamemalizika hivi karibuni . Matola amefunguka kuwa kurejea kwa Inonga kumewaongezea nguvu na Morali kuelekea mchezo wa Mimosas kwani kila mmoja anajua kuwa Inonga ni mchezaji muhimu ndani ya kikosi cha Simba

Chanzo: www.tanzaniaweb.live