Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inonga, Kramo kuikosa mechi Simba Vs Dodoma kesho

Inonga Majeruhi Wiki2.jpeg Inonga, Kramo kuikosa mechi Simba Vs Dodoma kesho

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wetu ujao dhidi ya Dodoma Jiji FC, tutawakosa wachezaji wawili [Henock Inonga na Aubin Kramo] ambao wanachangamoto kidogo za majeraha.

Inonga alipata changamoto kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate FC ambapo alianguka dakika ya 89 na kuumia bega baada ya pale alishindwa kuendelea na mchezo kutokana na maumivu makali akatolewa nje.

Ameshamaliza awamu ya pili ya matibabu na leo tunatarajia ataanza mazoezi ya pamoja na wenzake [group training] na tutaangalia kama atakuwa tayari kuingia kwenye machaguo ya mwalimu. Hiyo yote itategemea na namna ambavyo ataweza kufanya mazoezi.

Dkt. Edwin Kagabo, daktari wa Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live