Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Injinia Hersi alivyokiwasha na Malejendi wa Afrika Morocco (+Video)

Caamil 88 Rais wa Yanga, Hersi Said

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC na Mwenyekiti wa Chama cha klabu Afrika (ACA), Mhandishi Hersi Said jana Desemba 10 alishiriki kwenye mchezo wa hisani kati ya malejendi wa soka la Afrika dhidi ya wa soka nchini Morocco.

Mchezo huu uliopigwa katika uwanja wa Grande Stade de Marrakech, ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Morocco Septemba mwaka huu na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2,900.

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: