Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Injinia Hersi afunguka kukosa nafasi ya AFL msimu uliopita

Injinia Hersi Said Caamil Injinia Hersi afunguka kukosa nafasi ya AFL msimu uliopita

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said, amesema hana sababu ya kulalamika kuhusu kutoshiriki Kombe la Afican Football League (AFL) lilipoanzishwa mwaka jana lakini alichohakikishiwa ni kwamba, mwaka huu wanashiriki.

Injinia amesema amezungumza ma Rais wa CAF, Patrice Motsepe, amemhakikishia kwamba watashiriki mwaka huu na kwamba msimu uliopita kulikuwa na idadi chache ya timu zilizotakiwa.

"Alinieleza kwamba kulikuwa na limited number ya klabu zilizohitajika na hatuna budi kuheshimu kauli za viongozi, muhimu kwa kauli yake ametuhakikishia kwamba mwaka huu tutashiriki," alisema Injinia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live