Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Injinia Hersi: Ali Kamwe ndio Afisa Habari wa Yanga, hakuna mwingine (+Video)

Video Archive
Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said amesema Ally Kamwe ndiye Afisa Habari wa Yanga SC, na Haji Manara ni mwanachama ambaye anatafutiwa nafasi atakayoweza kuhudumu klabuni hapo.

Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said amesema Ally Kamwe ndiye Afisa Habari wa Yanga SC, na Haji Manara ni mwanachama ambaye anatafutiwa nafasi atakayoweza kuhudumu klabuni hapo. Kauli hiyo inakuja wiki chache tangu Manara amalize adhabu ya kutumikia kifungo chake cha miaka miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: