Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Iniesta mechi 1000 bila kadi nyekundu

Iniesta Kadi Nyekundu Andres Iniesta

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Andres Iniesta (39) amefikisha jumla ya michezo 1000 katika maisha yake ya soka huku akiwa hajapata kadi nyekundu hata moja.

Akiwa na FC Barcelona: Michezo 723, Mabao 57, Asisti 136

Akiwa Vissel Kobe: Michezo 134, Mabao 26, Asisti 25

Akiwa Emirates Club: Michezo 12, Mabao 2, Assist 1

Chanzo: www.tanzaniaweb.live