Shirikisho la Soka nchini Cameroon (FECAFOOT) imemfutia kesi ya kuhisiwa kudanganya umri kiungo kinda wa Taifa la Cameroon,Nathan Douala(17) ,hii ni baada ya Majuma kadhaa nyuma kushukiwa kuwa jina lake ni Alexandre Bardelli na ana umri wa miaka 22 hivyo FECAFOOT wakamsimamisha yeye na wengine 61.
Shirikisho la Soka nchini Cameroon (FECAFOOT) imemfutia kesi ya kuhisiwa kudanganya umri kiungo kinda wa Taifa la Cameroon,Nathan Douala(17) ,hii ni baada ya Majuma kadhaa nyuma kushukiwa kuwa jina lake ni Alexandre Bardelli na ana umri wa miaka 22 hivyo FECAFOOT wakamsimamisha yeye na wengine 61. Douala sasa yuko huru kurejea kuitumikia timu yake ya Victoria United nchini humo.