Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Imeisha hiyo! Kocha PSG athibitisha Mbappe kuondoka

Mbappe X Enrique Imeisha hiyo! Kocha PSG athibitisha Mbappe kuondoka

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa klabu ya PSG - Paris Saint-Germain Luis Enrique amethibitisha kuwa mchezaji Kylian Mbappé ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu na amemtakia kila la kheri katika maisha mapya huko atakapoenda.

Kocha mkuu wa klabu ya PSG - Paris Saint-Germain Luis Enrique amethibitisha kuwa mchezaji Kylian Mbappé ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu na amemtakia kila la kheri katika maisha mapya huko atakapoenda. Mbappe anatajwa kusaini Mkataba wa miaka mitano na wababe wa Hispania, Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live