Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ikay Gündogan akubali kurejea Man City

Ilkay Gundogun Ikay Gündogan

Wed, 21 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano na kiungo Ikay Gündogan juu ya Mhispania huyo kurejea klabuni hapo kwa uhamisho huru akitokea FC Barcelona.

Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano na kiungo Ikay Gündogan juu ya Mhispania huyo kurejea klabuni hapo kwa uhamisho huru akitokea FC Barcelona. Hatua hii inakuja baada ya Pep Guardiola kupendekeza kurejea kwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 33 ambaye amekubali kusaini mkataba mpaka Juni 2025 na chaguo la kuongezeka kwa msimu mmoja zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live