Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu yawapa kichapo tena Yanga

Ihefu Yawapa Kichapo Tena Yanga Ihefu yawapa kichapo tena Yanga

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huwenda ikawa siku mbaya kazini kwa kocha Gamondi baada ya kupokea kipigo cha kwanza cha goli 2-1 tangu atue Yanga SC.

Yanga imepokea kichapo hicho kutoka kwa Ihefu FC leo Oktoba 4, 2023 katika Uwanja wa High Land Estate Mbarali mkoani Mbeya.

Yanga walianza kupata goli kupitia kwa Pacome Zouzoua kabla ya Ihefu kusawazisha kupitia kwa Lenny Kisu na kisha Charles Ilanfya kutupia chuma cha pili na mpaka mpira unaisha, Ihefu 2-1 Yanga.

Hii si mara ya kwanza kwa Ihefu kuwachapa Yanga, msimu uliopita walipata matokeo kama hayo na kutibua ile 'unbeaten' ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live