Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu yamshushia kipigo Geita nyumbani 2-1

Ihefu Mabekiiiii Ihefu yamshushia kipigo Geita nyumbani 2-1

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Upepo umeendelea kuwa mzuri kwa Ihefu FC, wameendelea kushusha kipigo na safari hii, wamewachapa Geita Gold.

Geita waliokuwa nyumbani katika uwanja wa Nyamkumbu, wamelazimika kupokea kipigo hicho kilichotekelezwa barabara na Elvis Rupia na Marouf Tchakei.

Goli pekee la kufutia machozi liliwekwa kambani na Tariq Seif. Hii ni mechi ya pili mfululizo Ihefu anashinda ugenini, kabla ya hiyo, alimchapa Mtibwa 3-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live