Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu yampa 'Thank You' kocha wake

Moses Basena.jpeg Moses Basena.

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ihefu FC yenye maskani yake Mbarali mkoani Mbeya imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha Mganda, Moses Basena.

Basena amedumu katika kikosi hicho kwa siku 50 tangu alipotambulishwa Oktoba 16 huku akikumbana na matokeo ya sare na kufungwa bila kupata ushindi katika mechi saba.

Basena alichukua mikoba ya kocha Zuberi Katwila.

MECHI ALIZOONGOZA BASENA

Ihefu 0-0 Coastal Union

Simba 2-1 Ihefu

Singida FG 2-2 Ihefu

Ihefu 1-3 Azam FC

Namungo 2-0 Ihefu

JKT Tanzania 1-1 Ihefu

Ihefu 0-0 Prisons.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live