Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu waweka mzigo mzito kwa Beki wa Coastal Union

Elias Lawi Lameck Elias Lawi

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ihefu [Singida Black Stars] yenye maskani yake mkoani Singida imetuma ofa kwenda klabu ya Coastal Union kwa ajili ya kuinasa saini ya nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania [U20] Lameck Elias Lawi.

Klabu ya Ihefu [Singida Black Stars] yenye maskani yake mkoani Singida imetuma ofa kwenda klabu ya Coastal Union kwa ajili ya kuinasa saini ya nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania [U20] Lameck Elias Lawi. Ihefu imeweka mezani Million 130 kama sehemu ya kumnunua mlinzi na nyota wa klabu ya Coastal Union huku wakisubiri kufanya mazungumzo rasmi na mchezaji juu ya maslahi yake binafsi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live