Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu waingilia kati dili la kitasa wa Coastal Union

Lameck Lawi Lameck Elias Lawi

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofa aliyowekewa Mlinzi wa kati wa klab ya Coastal Union Lameck Lawi na Uongozi wa klab ya Ihefu imeonekana kumvutia zaidi,

Imefahamika kuwa ofa hiyo imezidi Tsh. 200 Milioni wakati Azam Fc wakiweka Tshs.200 milioni na ofa ya Simba ambayo ilishawekwa kapuni ilikuwa Tshs 150 Milioni,

Kwasasa upo uwesekano Mkubwa Wa Mlinzi huyo akajiunga na klabu ya Ihefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live