Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu wachezea kichapo kwa Kagera

Ihefu Wachezea Kichapo Kwa Kagera Ihefu wachezea kichapo kwa Kagera

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufanya vizuri kwenye michezo kadhaa ya Ligi Kuu ya NBC,jana Ihefu FC nao walionja radha ya kipigo kutoka kwa Kagera Sugar.

Kagera waliokuwa nyumbani waliweza kuibuka na ushindi wa 2-1 ambapo magoli yao yalifungwa na Obrey Chirwa na Dickson Mhilu huku lile la kufutia machozi la Ihefu likifungwa na Marouf Tchakei.

Dakika 10 za mwisho Kagera walicheza pungufu baada ya kadi nyekundu lakini haikuwa sababu kwa Kagera kuruhusu goli.

Kabla ya mchezo huo,Ihefu walitoka kupata ushindi kwenye michezo miwili mfululizo ambapo walimfunga Mtibwa Sugar 3-2 na Geita Gold 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live