Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu vs Yanga, zamliza na kumchekesha Mkuu wa Mkoa (+Video)

Mkuu Wa Mkoa Wa Mbeya Juma Homera.jpeg Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ambaye ni shabiki wa timu ya Yanga SC na Ihefu waliokipiga jana Uwanja wa Ubaruku Jijini Mbeya na Ihefu kuibuka na ushindi wa mabao 2 -Yanga 1 amechekesha Wananchi wa Kijiji Cha Ilongo mkoani humo baada ya kusimulia alivyolia na kucheka hiyo jana.

Akizungumza na wamiliki wa Mbogomaji Wanambarali Homera ameipongeza Ihefu kwa ushindi huo na kuwataka wachezaji wa timu hiyo kuendelea kutoa dozi kwa timu zingine ikiwemo Simba.

Tazama Video hapa chini kumsikiliza Mkuu huyo wa Mkoa;

View this post on Instagram

A post shared by Manara TV (@manaratv__)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: