Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu kumshusha Mkenya Usajili wao wa kwanza

Duke Abuya Kiungo mshambuliaji, Duke Abuya

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ihefu iko kwenye mazungumzo ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji, Duke Abuya kutoka Police ya Kenya.

Raia huyo wa Kenya aliyewahi kuichezea Nkana (Zambia) kabla ya kutua Police ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, John Simkoko ambaye anahitaji kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao.

Duke mbali na kuichezea Nkana ila timu nyingine ni Kariobangi Sharks na Mathare United zote za Kenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live