Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu: Tunamtangaza Kocha mpya hivi karibuni

Ihefu New Coach.jpeg Kikosi cha Ihefu kitaikabili Coastal Union katika mchezo ujao wa Ligi

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ihefu kupitia kwa Afisa habari wake Peter Andrew imesema itamtangaza kocha mpya ndani ya wiki ijayo kabla ya mchezo wao na Coastal Union kwasasa wako kwenye mchakato wa kumtafuta kocha mpya.

Kuhusu kocha mpya kutoka ndani ya nchi ama nje ya nchi amesema hilo suala wameiachia bodi ya wakurugenzi ndio inayoamua kulingana na mahitaji ya timu.

Ihefu leo Oktoba 14 imetangza kuachana na Kocha wake Mkuu Zuberi Katwila.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: