Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu, JKT Tz hakuna mbabe CCM Liti

Ihefu X CCM Ihefu, JKT Tz hakuna mbabe CCM Liti

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Mei 9 Uwanja wa CCM LITI mjini Singida.

Wenyeji, Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Mei 9 Uwanja wa CCM LITI mjini Singida. Kwa matokeo hayo, Ihefu SC inafikisha pointi 29 katika nafasi ya 10 na JKT Tanzania inafikisha pointi 32 nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 26.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live