Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ihefu FC yaitangazia vita Geita Gold

Ihefu FC Yaitangulia Simba SC ASFC, Ligi Kuu Ihefu FC yaitangazia vita Geita Gold

Sat, 3 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Ihefu FC umesema kuwa mpango wao mkubwa kuelekea mchezo wa mzunguuko wa 29 wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya dhidi ya Geita Gold FC, ni kupata alama tatu muhimu.

Ihefu FC itakuwa mwenyeji wa mchezo huo katika Uwanja wa Higland Estate, Mbeya Juni 6, mwaka huu.

Afisa Habari Ihefu, Peter Andrew amesema: “Tupo kwenye lala salama na kila timu inahitaji kupata matokeo hilo benchi la ufundi linatambua na mpango ni kuona kwamba tunapata ushindi.

“Tukiwa nyumbani tunakuwa na furaha kwani mashabiki wengi wamekuwa wakijitokeza hilo linawapa nguvu wachezaji kucheza kwa juhudi kutafuta ushindi tunaamini itakuwa hivyo kwenye mchezo wetu ujao,”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live