Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idris Mbombo atua Nkana FC

Mbombo 3 Idris Mbombo

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Nkana FC ya Zambia inayotishia kushuka daraja leo mchana imetangaza kunasa saini ya wachezaji wanne wapya waliosajiliwa kwa ajili ya kuibakisha timu hiyo ligi kuu:

Waliosainiwa ni;

1. Idris Mbombo- Azam

2. Monga Ndala - FC Muza

3. Austine Banda - Napsa Stars

4. Laurent Muma - Forest Rangers.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live