Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Iddi Moshi atupa karata kwa Yanga Dabi ya Kariakoo (+Video)

Pic Idd Iddi Moshi atupa karata kwa Yanga Dabi ya Kariakoo

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Yanga Iddi Moshi 'Myamwezi' amesema anaamini Yanga ina nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo unaotarajiwa kupigwa Aprili 20,2024, katika Uwanaja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

Yanga inatarajiwa kuialika Simba Jumamosi saa 11:00 jioni, ambapo Moshi amesema kuelekea mchezo huo utabiri wake mkubwa ameuweka kwa Yanga kwakuwa ina timu nzuri na wachezaji wake wanajituma tofauti na Simba ambao kwa sasa hawapo vizuri.

Tazama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: