Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idadi ya watazamaji wa Kombe la Dunia yaporomoka Ulaya

Qatar 1 Idadi ya watazamaji wa Kombe la Dunia yaporomoka Ulaya

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya kombe la Dunia nchini Qatar 2022 imeshuhudia kuporomoka kwa idadi ya watazamaji wa Televisheni Barani Ulaya ikilinganishwa na kombe la Dunia la mwaka 2018 zilizofanyika Russia.

Takribani watu milioni 54 kutoka Ulaya walitazama mechi ya ufunguzi ya timu zao za taifa wakati wa kombe la Dunia 2022 ikiwa ni takribani watu milioni 40 pungufu ya kombe la Dunia la mwaka 2018.

Sababu kubwa iliyotajwa kusababisha hilo ni kitendo cha nchi ya Qatar kulalamikiwa inakiuka na kukandamiza haki za binadamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live