Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Icardi takwimu zake usipime Galatasaray

Mauro Icardi 10 Goals.jpeg Straika wa Galatasaray, Mauro Icardi

Sun, 22 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa Galatasaray, Mauro Icardi sasa amehusika katika mabao 10 kwenye michezo yake 9 ya Turkish Super ligi msimu huu, baada ya bao alilofunga dhidi ya Antalyaspor hapo jana.

Mauro Icardi ndiye mchezaji pekee aliyehusika katika mabao 10 kwenye Turkish Super lig msimu huu akiwa amecheza chini ya dakika 700.

michezo 9

Ameanza michezo 7

Amecheza dakika 654

Mabao 6

Pasi za mabao 4

Amehusika katika mabao 10

Ana wastani wa kufunga bao au kutoa pasi ya bao kila baada ya dakika 65 Ana wastani wa kufunga bao kila baada ya dakika 109

Chanzo: www.tanzaniaweb.live