Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibrahima Bamba atua Al Duhail ya Qatar

Hhh 860x585.jpeg Vitória Guimarães.

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ibrahima Bamba amesajiliwa na Al Duhail ya Qatar kutoka Vitória Guimarães, mkataba wa €9m pamoja na €5m umekamilika, hati zimefungwa pia zikisubiri tangazo rasmi hivi karibuni.

Ni miongoni mwa uhamisho wa rekodi kwa Vitória Guimarães.

Ibrahima Bamba sio jina ambalo wengi watalifahamu haswa lakini ameibuka kama mchezaji muhimu wa Vitória de Guimarães ya Premierira Liga msimu huu na alivutia vilabu vingi kote Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live