Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibrahim Ajibu atambulishwa Coastal Union

Ajibu Coastal Ibrahim Ajibu atambulishwa Coastal Union

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Club ya Coastal Union ya Tanga imetangaza rasmi kumsajili Ibrahim Ajibu kama Mchezaji wao mpya kuelekea msimu wa 2023/024.

Ajibu aliyewahi kucheza Simba, Yanga na Azam FC, msimu uliopita alicheza Singida Fountain Gate FC ya Singida.

Ajibu anakwenda kuungana na Kocha wake aliemfundisha akiwa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera.

Una neno gani la kumwambia Ibrahim Ajibu Migomba?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live