Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibenge awataka nyota wake walioitwa timu za taifa kuwahi kurudi

Al Hilal AA9C7X.jpeg Ibenge awataka nyota wake walioitwa timu za taifa kuwahi kurudi

Mon, 2 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Ahli Tripoli imewataka wachezaji wake 7 waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa kuwahi kurudi kambini ili kujiandaa kuwakabili Simba SC mapema sana katika Shirikisho Afrika.

Wachezaji hao ni;

Cristovao Mabululu

Hamdou Elhouni

Muaid Ellafi

Sanad Al Warfalli

Ghaylen Chaalali

Al-Gozoli Nooh

Bakhit Khamis.

Klabu ya Al Ahli Tripoli itacheza mchezo wa kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya CAF Confederation Cup mnamo 09-15 September, 2024 na marudiano ni tarehe 20/09/2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live