Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibenge anamtaka Glody Likonza

Glody Likonza 900x570 Glody Likonza.

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al-Hilal Club (Omdurman) wanaangalia uwezekano Wa kuinasa Saini ya Glody Likonza (25) wanapoelekea kushiriki ligi kuu ya Tanzania NBCPL msimu ujao lakini pia pamoja na Michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE msimu ujao wakiwa kama wawakilishi Wa Sudani.

Kiungo huyo Wa Congo amekuwa akiitajika na vilabu vingi Barani Africa ikiwemo Simba Sc ???????? pamoja na Future FC.

Florent Ibenge atajaribu kumshawishi tena kadri awezavyo lakini uenda ofa hii ikawa ngumu kidgo Kwa Al Hilal Ondurma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live