Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibenge agoma kumuuza Makabi Lilepo kwa Waarabu

Makabi Lilepo Move Makabi Lilepo

Sat, 8 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal ya Sudan imegoma kumuachia Straika wake Makabi Lilepo alikuwa anahitajika na miamba ya Misri Klabu ya Zamalek.

Zamaleki walitoa kiasi cha Dola za Kimarekani Laki tano (500000) lakini Al Hilal wamegomea ofa hiyo.

Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge ametamka wazi kuwa Starika huyo ndio mchezaji wake muhimu katika harakati za kuipatia mataji klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live