Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibenge afunguka kutua Simba, ataja kipigo cha bao 5 Dabi ya Kariakoo (+Video)

Video Archive
Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kupata sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge amezungumza na wanahabari na kuweka wazi nia na madhumuni ya kucheza mchezo huo huku akielekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro de Luanda Novemba 25.

Baada ya kupata sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge amezungumza na wanahabari na kuweka wazi nia na madhumuni ya kucheza mchezo huo huku akielekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro de Luanda Novemba 25. Aidha Ibenge amezungumzia kuhusu mchezo wa Kariakoo Dabi ambao Simba ilipoteza kwa mabao 5-1 dhidi ya mtani wake Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live