Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hwa hapa wapinzani wa Simba SC tamasha la "Simba Day"

Dsfs.jpeg Kikosi cha APR FC ya Rwanda

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

APR FC ya Rwanda imetangaza uwezekano wa kucheza michezo miwili ya kirafiki na klabu mbili za Tanzania.

Imeiomba kucheza na Yanga SC mjini Kigali nchini Rwanda wakati Simba SC ikiwa imeialika APR FC katika kilele cha siku ya Simba Day.

APR FC inataka kucheza michezo hiyo miwili ndani ya wiki mbili kabla ya kukutana na Police FC katika mtanange wa Super Cup Agosti 11,2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live