Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huzuni, mchezaji afia uwanjani

MCHEZAJI AFA Sofiane Locar

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa kimataifa wa Algeria, Sofiane Locar (30) amefariki dunia kwenye mechi ya Ligi daraja la kwanza Algeria kati ya Mouloduia Saida na ASM Oran.

Mchezaji wa kimataifa wa Algeria, Sofiane Locar (30) amefariki dunia kwenye mechi ya Ligi daraja la kwanza Algeria kati ya Mouloduia Saida na ASM Oran. Lokar alipata shambulio la moyo wakati mechi inaendelea na akafariki licha ya juhudi za wataalam wa afya waliokuwa uwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live