Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndo mwamba anayemharibia hesabu za kiatu Mayele

Mayele Abou Wissa Huyu ndo mwamba anayemharibia hesabu za kiatu Mayele

Tue, 6 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kupiga Hat-Trick juzi usiku, mshambuliaji wa Al Ahly, Wessam Abou Ali

raia wa Denmark na Palestina amefikisha mabao (18) katika mechi (18) alizocheza mpaka hivi sasa na bado ana michezo minne mkononi.

TOP 4 YA WAFUNGAJI WA LIGI KUU EGYPT (EPL)

1. Wessam Abou Ali — (18 goals from 18 matches)

2. Fiston Mayele — (14 goals from 30 matches)

2. Hossam Ashraf (14 goals from 31 matches)

4. Mabululu — (11 goals from 25 matches).



Kumbuka Wessam About Alli alisajiliwa na klabu ya Al-Ahly kwenye dirisha dogo na kwa michezo 13 mfululizo amefunga mabao kila mchezo.

Wessam Abou Ali mwenye umri wa miaka 25, alizaliwa mwaka 1999 katika nchi ya Denmark (Danish) Barani Ulaya ambapo pia ndiyo nchi aliyozaliwa mama yake baba yake ni Muislam raia wa Palestina.

Kwa sasa Wessam Abou Ali ndiye mshamhuliaji hatari zaidi anaecheza Ligi za ndani ya bara la Africa. Wessam Abou Ali ni mchezaji wa daraja la juu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live