Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndiyo mbabe wa Pep Guardiola

Pep Guardiolaa Hawa ndiyo wababe wa kwanza wa Pep Guardiola

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City ilifanya majaribio mawili tu ya mashuti kwenye lango la Aston Villa katika kipigo cha 1-0 dhidi ya miamba hiyo ya Villa Park.

Idadi hiyo ya mashuti kwenye lango la mpinzani ni chache zaidi kwa timu zilizowahi kunolewa na Pep Guardiola kihistoria.

Kwa lugha rahisi ni kwamba Aston Villa inayonolewa na Mhispania Unai Emery, ndio timu ngumu zaidi kuwahi kumtoa jasho Pep raia wa Uhispania.

Hata hivyo ushindi huo wa Aston Villa dhidi ya Man City ni wa kwanza kwa Emery dhidi ya Guardiola tangu waanze kukutana.

Unai Emery amekutana na Guardiola kwenye mechi 14 akipokea vichapo 9, sare 4 na ushindi mara moja (1).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live